Silabasi hii imetayarishwa ili kuyakidhi mahitaji ya wasomi wanaosomea kozi ya cheti ya ECDE muhula

wa pili 2020.Toleo hili limeshughulikia stadi zote nne za lugha ambazo ni:

A] Kuzungumza na kusikiliza

B] sarufi

C] kuandika(imla na Insha)

D] kusoma na kufahamu.